Wednesday, September 24, 2014

Vijana wa kikundi cha uimbaji cha Family Music Singers hivi karibuni wametoa huduma ya uimbaji katika kanisa la waadventista wasabato Sinza jijini Dar Es Salaam ambapo pia kulikuwa na waimbaji wengine kama  Sonda Ya Dilu na Miriam Chirwa na kulikuwa na somo la mbaraka toka toka kwa mchungaji D'zombe kutoka Union.
WAIMBAJI FAMILY MUSIC TOKA KANISA LA MZIZIMA DAR ES SALAAM



****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA