Sunday, February 15, 2015

 
Pastor Geofrey Mbwana akimfariji pastor Muhando wakati wa kuaga mwili wa marehemu Esta Muhando jana Mwenge kanisani




Mamia wafurika kuaga mwili wa marehemu Esta Muhando jana  kanisani Mwenge. Mwili huo umesafirishwa kwenda Hedaru jana ambapo Mazishi yanatarajiwa kuwa leo. Ibada ya mazishi iliendeshwa na mchungaji Geofrey Mbwana ambaye aliwahimiza wahudhuriaji kuacha alama zitakazokumbukwa hata baada ya wao kutoweka duniani kama ilivyo kwa marehemu Esta
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA