Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya
Hifadhi ya Jamii, uliofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo
Feb 5, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Kamishina Mstaafu wa TRA, Harry Kitilya, wakati
walipokutana baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya
Hifadhi ya Jamii, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam, leo Feb 5, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Burn Ltd, Malaczynski Burn,
baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya
Jamii, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Feb
5, 2015.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia
alipokuwa akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya
Jamii, uliofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Feb 5,
2015. Picha na OMR.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment