Friday, March 06, 2015

Sue Fink ni mzaliwa wa Malekani na mwanzilishi wa kwaya hii yenye jumla ya waimbaji 160,akiwa ni mwimbaji,mwongozaji wa na nyimbo na mwandishi mtunzi wa nyimbo akiwa amesoma shahada ya sanaa katika chuo kikuu cha California kilichopo Los Angeles Malekani
Waimbaji wa Angel City Chorale wakiimba wimbo wa Baba Yetu na pia wanatoleo lingine kwa kiswahili kwa njia ya Audio wimbo unaitwa O SIFUNI MUNGU

Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA