Kwaya ya Angaza toka kanisa la Waadventista Wasabato Manzese walifanikiwa kuzindua dvd n04 katika ukumbi wa Hotel ya Lion Sinza na kuhudhiriwa na waimbaji mbalimbali kama vile;-Aic Chang'ombe,Sauti ya Nyikani,Kings Messengers,The Winners,kwaya ya Mbiu na zikipatikana milion 40 zikiwa ni pesa taslimu pamoja na ahadi....
| Kulia ni Mgeni rasmi Alhaj Ramadhan Madabida akifungua dvd katika utepe.. |
| Kulia ni Mgeni rasmi Alhaj Ramadhan Madabida akizindua dvd rasmi |
| Baadhi ya waimbaji wa Angaza ambao ni wenyeji wa siku hiyo walipokuwa wakihudumu kwa uimbaji.. |
| Baadhi ya waimbaji wa Angaza ambao ni wenyeji wa siku hiyo walipokuwa wakihudumu kwa uimbaji.. |
| The winners wakipokuwa wakiimba.. |
| Waimbaji toka kwaya ya Kinondoni Sda wakiimba kwenye uzinduzi huo |
| Kwaya ya Mbiu sda walipokuwa wakiimba siku ya tukio |
| Aic Chang'ombe wakihudumu kwenye uimbaji siku hiyo.. |
| The Kings Messengers walikuwepo pia |



0 comments:
Post a Comment