Thursday, June 25, 2015

Watumishi wawili wa kanisa Pr. Mika Musa na Mtangazaji wa Morning Star Redio Mr. Maduhu wamekabidhiwa tuzo kwa ajili ya ubunifu wa mambo ya teknohama na jitihada za kazi. Jina la Bwana lipewe sifa.
picha/habari na Abraham Youze
Mr.Maduhu kulia akipeana mkono na akipokea tuzo toka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano toka ECD Mchungaji Steven Bina mapema jana katika kuhitimisha mkutano wa Tain ndani ya kanisa la waadventista wasabato Arusha Mjini Kati. 
Kutoka kushoto ni Mchungaji Dr.Godwin Lwekundayo akitoa tuzo kwa mchungaji Mussa Mika(kulia) mwenye t-shirt ya kaki hapo jana katika kuhitimisha mkutano huo uliofanyika kwa siku 3.



****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA