Monday, June 22, 2015

Sabato ya tarehe 20/06/2015 imeingia katika historia ya kanisa la Waadventista wasabato Kimara baada ya wageni wengi kujitokeza toka sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam.
Hii imejidhihirisha baada ya zawadi zilizokuwa zimeandaliwa kwaajili ya wageni kumalizika na huku foleni ikiwa ndefu hivyo kulazimika kuahidi kufanyiwa utaratibu wa zawadi kwa wale waliokosa.
Muhubiri wa siku hiyo alikuwa Muinjilisti dkt. Mwandambo kutoka katika kanisa hilo la Kimara. 
Kanisa likiwa limejaa Asubuhi
Watu wakiwa wamekaa Nje
Kwaya ya Kanisa la Wasabato Kimara
Mwinjilisti Dktr. Mwandambo akihubiri
Watu wakijitoa wakati wa wito, wakipokewa na mzee wa kanisa
Mch. Haruni Kikiwa alikuwa mmoja wa wageni
Ombi la kuwekwa Wakfu

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA