Monday, June 22, 2015

Vijana waishio katika mazingira magumu waishio katika kituo kimoja jirani na kanisa la Waadventista Wasabato Kimara, wameonesha kufuraishwa na ukarimu ulioneshwa na kanisa hilo baada ya kupokea zawadi mbalimbali ikiwepo keki na vifaa vya shule kama ishara ya upendo kwa vijana hao.
Awali akiongea Mch. wa kanisa hilo Rahisi Mande, alisema "huo ni mwanzo tu wa mahusiano na urafiki wetu hivyo kuweni huru kufika katika kanisa hili kwa wakati wowote kwani tayari sisi ni marafiki".
Akitoa shukrani kiongozi wa vijana hao alisema "Ninajisikia vizuri kupokea misaada hii kwani imeonesha wazi nasisi kuna watu wanaotujali na kututhamini".
wakienda kulishwa keki
Wakilishwa Keki
Zawadi ya Keki
Zawadi zilizoandaliwa na kanisa tayari kukabidhiwa
Viongozi kutoka Kituo cha Children Of God wakitoa Shukrani
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA