Saturday, August 29, 2015

"Mungu uona videge wanaoanguka..." ni baadhi ya maneno yanayopatikana katika wimbo maarufu sana kwa watoto kanisani, wimbo unaonesha upendo wa Mungu kwa watoto..., kama Mungu anaweza kupenda na kuwahudumia ndege wa angani habari gani watoto.
injilileoTV, inakuletea watoto kutoka katika kanisa la Waadventista Wasabato Kimara wakiimba wimbo huu  kwa ufundi na mvuto wa hali ya juu.
Karibu ubarikiwe na wimbo huu... 
  ****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA