Tuesday, September 08, 2015

Chris Mauki
Kati ya baadhi ya mambo ya kuzingatia kufahamu unapotaka kuoa au kuolewa ni pamoja na kujua kama mpenzi wako ametoka kwenye familia ya wazazi waliotengana au kutalikiana. Sisemi kwamba watu wa jinsi hii sio wazuri, la hasha, bali unapolijua hili mapema ni rahisi kulishuhulikia hususan kiroho ili na ninyi msiendeleze mnyororo ule ule. Hiki kitu kitafiti kinaitwa "divorce circle". Angalia wewe mwenyewe familia ngapi wazazi waliachana na watoto wameendelea kuachana au unaona watu wengi tu kwenye familia moja wanandoa zilizovunjika. Je unadhani ni ajali au bahati mbaya tu?? Mwenye masikio asikie na afahamu - Chris Mauki




****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA