Sunday, January 17, 2016

Watu zaidi ya 50 akiwepo Mchungaji wa Kanisa la Neema na Mzee wa kanisa la Lutheran Wabatizwa jana(16/01/2016) hapa Mbalizi Mbeya.
Ni katika mkutano wa Uzinduzi wa Kaulimbiu ya "Utume kwanza, niwakati wa Mavuno" ambao ulitanguliwa na Ziara ya Mchungaji ya nyumba kwa nyuma na Kupelekea watu wengi kuamua kubatizwa.
Katika uzinduzi huu BWANA kajipatia:
1. Watu 20 waliyo jitoa Kuwa Wainjilist wa Vitabu.
2. Watu 60 kuwa wainjilist wa hadhara na nyumba kwa nyumba
3. Watu Sita walio ahidi kudhamini mikutano ya injili kwa kila mmoja kutoa 3,000,000/=, 1,500, 000/=, 1,000, 000/=, na 500, 000/=
4. Watu Wote waliahidi Kuunga mkono Injili.
5. Watu zaidi ya 150 walio jitoa kujiunga na kwaya katika makanisa ya mtaa wa Mbalizi nayari kwa Injili.
6.Viongozi wa mtaa mzima kwa kuwaweka wakfu kwa kutumika 2016.
7. Vijana walio tayari kwa kutumika.
8. Watu zaidi ya 1300 walio Hudhuria Uzinduzi huu.
Ombea kazi ya Utume Mtaa wa Mbalizi.
Mchungaji Harun Kikiwa alipokuwa kwenye huduma ya ubatizo


Mchungaji Harun Kikiwa alipokuwa kwenye huduma ya ubatizo
Baadhi ya wabatizwa walipokuwa na Mchungaji Haruni Kikiwa.
Picha/Habari na Harun Kikiwa
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA