Friday, August 26, 2016

 Uongozi na timu nzima ya waimbaji wa Light Bearers wamewasili mapema mchana huu wakitokea nchini Uingereza ambako pamoja na mambo mengine walipata kufanya video ya nyimbo kama 'Inua Macho' na 'Urugendo' ambazo ziliongozwa na Tegemea Champanda mtanzania anayeishi nchini Uingereza na kuhudumu katika mkutano wa injili uliongozwa na Mchungaji Bhutoke ambaye aliwahi kuishi nchini Uingereza.
Poleni na safari na karibuni Tanzania waimbaji wetu tunawapenda













Picha na Rafiki Mtango
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA