Saturday, August 06, 2016

Kwaya ya Kanisa Ubungo Hill imekusogezea album yao mpya ya santuri ikiwa na jina album "UAMINIFU MKUU" pata kuusikiliza wimbo unaobeba jina la album.
Kazi hii imefanywa na Producer Vancuva wa Home Town Studio 

Kupata nakala yako tafadhali wasiliana nasi 0712- 250 251  



****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA