Monday, August 22, 2016

Jana ilikuwa ni kihistoria kwa wapendwa hawa toka kwenye tasnia ya nyimbo za injili wakiimbia kwaya ya Ubungo hill Sda ambao nia Eliezer na Dorah kwa kufunga pingu za maisha ibada ilifanyika katika kanisa la Ubungo Hill SDA na hafla ya kuwapongeza ilifanyika katika ukumbi wa Law School, Mawasiliano jijini Dar Es Salaam.
Na Cherie












 ****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA