Soma, Kum. 24:10-22; Yon.3; Mal. 3:17; Mt. 15:32-38; Mk.
6:34-44; Gal. 6:2; Ebr. 10:32-34, katika Ellen G.White , “ Be
Sympathetic to All men ,”uk. 189, na “ Thought full of others ,” uk.193,
kwenye kitabu cha My Life today, “ The privileges of prayers,” uk.100
kwenyekitabu cha Steps of Christ, This is pure Religion na The parable
of the Good Samaritan,” suraya 4 naya 5 kwenyekitabukiitwacho Welfare
Ministry.
Familia chache wakati wa mapumziko hukutana pamoja na
watoto wao wadogo na hutengeneza chakula pamoja na vifaa vya kuogea na
kuwagawia watu waishio katika mazingira magumu katika mji wao. Baada ya
kufanya kazi ka masaa machache huingia kwenye magari yao na kwenda mjini
kugawa vitu hivyo. Na baada ya hayo huenda kwa katika jumba la
makumbusho na baada ya hapo huenda kwa ajili ya chakula cha jioni. Baada
ya hapo hupanda magari yao, wakati walipokuwa wakitembea kurudi kwenye
magari yao mmoja wao alisema, “ ninafuraha tumefanya hili, Lakini je
mnatambua kwamba wengi wao tuliowagawia chakula wana njaa muda huu”?
Bila shaka , kuna watu wengi huko nje wanao hitaji
faraja,huruma na msaada mkubwa zaidi, kuliko inavyowezekana kudhaniwa?:
Ni nini maana ya kufanya kitu chochote? Ni kwa taabu sana tunaweza
kupunguza tu? Ni matatizo kadhaa yaliyopo katika dhana hiyo ya kufikiri,
Hata hivyo, kwanza kama kila mmoja atafikiri hivyo, hakuna ambaye
angeweza kumsaidia mtu yeyote katika mahitaji yake jinsi yaliovyo ya
kuoghafulisha, hali hii ingekuwa mbaya sana. Pili kamwe hatujawahi
kuambiwa katika biblia kuhusu maumivu ya binadamu, mateso na uovu
vitaondolewa kabisa katika upande huu wa mbingu. Na hakika tumeambiwa
kinyume chake. Hata Yesu alipokua hapa duniana hakuyamaliza mateso yote
ya wanadamu. Alifanya alichoweza, Tunatakiwa kufanya sawa na hivyo
alivyofanya: Kuleta faraja, huruma, na msaada kwa wale tunaoweza.
Maswali ya Mjadala
1.Je kanisa lako linawezaje kufanywa kuwa mahali salama ya uponyaji kwa wale waliovunjika Moyo?
2.Jadilini katika darasa lenu kuhusu nuku hii: “Wengi
hushangaa kwamba kwanini Mungu haadhibu, Mungu hushangaa kwanini watu
wake wengi hawajali”-Dwight Nelson, Pursuing thye passion of Jesus
(Nampa,Idaho: Pacific Press Publish Association, 2005)Unakubaliana hata
na wazo hili lenye changamoto? Kama ni hivyo tunaweza kufanya nini,ili
tubadilike?
3.Tazama nukuu katika Ellen G.White : “Maneno ya huruma
yanayozungumzwa kwa usaili wa kuyafukuzia mbali mawingu ya majaribu na
mashaka yanayojitokeza juu ya roho. Mwonekano wa moyo wa kweli wa Kristo
wenye huruma, unaonekana kiurahisi,una nguvu yakufungua milango ya
mioyo inayohitaji kwa wepesi, na ulaini wamguso wa roho ya Kristo.”
-Ellen G.White, Testimonies for the Church, vol.9p.30. Hili linatuambia
nini kuhusu nguvu ya ajabu ya mema na ukarimu na huruma inayoweza kuwepo
katika kuwafikia watu wengine na kuwasaidia wenye huzuni?****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693**
0 comments:
Post a Comment