Tuesday, August 16, 2016

Kwaya ya kanisa la waadventista wa sabato Lukuyu (Kyela) lililoko jijini Mbeya linawaletea muonekano wa tafauti wa DVD ya pili inayotamba kwa jina NANI ATASIMAMA itakayozinduliwa hivi karibuni na hizi ni baadhi ya picha zilizopo katika DVD hiyo.




***TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA