Saturday, September 24, 2016

Born waliwasili Shirati kutokea Mwanza na baada ya kufika hapo walipokelewa na kwaya wenyeji ya Ochuna ya Lolwe Shirati ambao pia walitoa huduma ya uimbaji kwa kuimba nyimbo tatu na wakiwa katika programu hiyo walijitambulisha kupitia kiongozi wa kwaya hiyo na walifurahi sana kupata ugeni huu.
Ugeni huu ulifikia katika familia ya Mzee Phillip Nyambita pamoja na huduma za nyimbo na kutambuana walipata kukaribishwa na wenyeji wa mji ambao ni Bwana na Bibi Phillip Nyambita.
Kwaya ya Ochuna walihudumu kwa nyimbo usiku wa kuamkia leo katika mji wa Mzee Phillip Nyambita ambaye ni baba wa katibu na mwenyekiti wa kikundi cha Born to Praise.



****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA