Saturday, September 24, 2016

Huduma za kawaida kwa kanisa la waadventista wa Sabato ulimwenguni huanza na shule ya Sabato na kwenye huduma hiyo waliweza kuhudumu kwa njia ya uimbaji na waliweza kuimba wimbo wa Ni yule yule na kisha huduma ziliendelea kama kawaida huku wakitambulishwa na viongozi wa kanisa la Shirati kati.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA