Saturday, September 24, 2016

Katika huduma kuu waliweza kuimba wimbo wa "Kafara ya Yesu" pia wataendelea na huduma ya leo ya kutembelea wodi ya wazazi katika Hospitali ya Shirati  huku jioni wakijipanga kurudi jiji Mwanza kwenye huduma ya uwekwaji wakfu wa DVD ya waimbaji wa Lake Zone Voice ambalo litafanyika kesho katika ukumbi wa Vijana Center Mlango mmoj jijini Mwanza.


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA