Saturday, September 24, 2016

Jioni ya jana walipowasili Shirati maeneo ya Lolwe waimbaji wa Born to Praise walipata fursa ya kushiriki chakula cha pamoja na wenyeji wao na kisha kupata utambulisho toka kwa Bwana na Bibi Phillip Nyambita wenyeji wa mji ambao walifikia waimbaji hawa.







****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA