Sunday, September 25, 2016

 Waimbaji wa nyimbo za injili toka kikundi cha Lake Zone Voice leo wanatarajia kufanya huduma ya kuweka wakfu DVD namba 2 yenye jina JIWE na tukio hili litafanyika katika ukumbi wa Vijana Center maeneo ya mlango mmoja jijini Mwanza na pamoja nao wapo;-
Born to Praise toka Dar Es Salaam
Toka Mwanza ni The Glory, Maranatha Singers, Holly Singers, The Precious of Hope, The Light Singers, The Antiokia Singers.
Waimbaji binafsi kama vile;-
Veronica Ntemihanda, Isaya Mbetwa, Elizabeth Asubuhi na Ebeneza Mavunde.
Pamoja na tukio hili kutakuwa na uchangiaji wa vifaa vya muziki
Hakuna kiingilio na nyote mnakaribishwa.


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA