"Kujifunza habari za Yesu juu ya mbingu mpya na nchi mpya, unabii na yote
uyajuayo huku ukiwa huna uhakika wa kipato inaweza kuwa aingii sana
akilini. Sababu hizo na nyingine nyingi zilipelekea washiriki kupewa
mafunzo na kuwezeshwa hii ni mara ya pili jambo hili linafanyika katika viunga vya Kanisa la Kariwa SDA" -Dr Mugisha (Mratibu wa Weekend Experince.
-----------------------------------------------------
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
-----------------------------------------------------
Usikose
fursa ya kujua mengi na namna ya kuanzisha biashara, kupata uzoefu wa
kuongeza faida katika biashara yako na mzunguko wake, kumbuka ni
Jumapili hii Januari 29, 2017 ndai ya viwanja vya Kanisa la Kariwa SDA-
Moshi.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***




0 comments:
Post a Comment