Monday, February 13, 2017

 Vijana wa vyama vya AC na PF toka kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge, hapo jana Februari 12, 2017 walifanya ziara ndani ya mji wa Bagamoyo na injilileo ikazipata taarifa hii.....
"Tulitembelea Chuo cha Uvuvi cha FETHA kipo mbegani Bagamoyo.
*Tumejifunza Uumbaji
*Tumejifunza viumbe wa baharini.
*Tumetembelea Mabwawa ya Samaki na kuona ufugaji wa samaki,vifaranga wa samaki
*Tumetembelea mahali pa kutotoleshea vifaranga wa samaki.
* Na tukajifunza kuogelea na tulikuwa na jopo la waalimu kama;- Mwalimu Lilian Nyagabona,Magdalena Kuguru,Nyakwes Maregesi,Mecktrida Mauma,Ladislaus Mashauri ,Pendo Magita,Bennocent"
























 Picha/Maelezo na Bennocent- Mwalimu idara ya Watoto Mwenge sda

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: , ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA